Kurudi Mashinani

Pattern number within this pattern set: 
13
Douglas Schuler
Public Sphere Project
Verbiage for pattern card: 

Binadamu amebadili mazingira kijamii na kimali kwa njia ya ajabu kwa miaka mingi. Hali hii imefanya kuwe na ufa kati ya hali yetu ya kisasa na hali yetu ya “mizizi” ambayo inambatana na mazingira na chanzo na riziki ya maisha yetu. Kurudi mashinani haifai kuwa makumbusho lakini inafaa kuwa kugundua, kuchambua na kujenga juu ya uwezo wetu.Hii inaweza kuwa chemchemi ya maandalizi ya ubunifu kwa ajili ya baadaye.

Pattern status: 
Released