Maisha Bora

Pattern number within this pattern set: 
3
Gary Chapman
University of Texas at Austin
Verbiage for pattern card: 

Watu ambao wana matumaini ya dunia bora wanahisi kuwa na maoni ya pamoja kwa maisha bora. Shida ambazo zina dhulumu ulimwengu zina hitaji maoni ya maisha bora ambayo yanaambatana na matarajio ya binadamu. Mfumo wa maisha ya kisasa yanafaa kulingana na matarajio ya ubinadamu na kupea nafasi ya maisha ya kiroho yenye haitafuti utawala.

Pattern status: 
Released