Matumizi Ya Kawaida

Pattern number within this pattern set: 
2
David Bollier
Author
Verbiage for pattern card: 

Jenomu ya binadamu, mbegu na maji hazifai kumilikiwa na yeyote au makampuni. Maktaba ya jamii, mbuga za bustani na burudani, marikiti ya wakulima na ardhi ya umati zina julikana kuwa muhimu na za faida kubwa kwa jamii yenye makampuni haziwezi kufaidsha raia wa kawaida. Makampuni haya haya wezi kuhifadhi mazingira wala kuleta usalama wa kiuchumi au kujenga jamii zenye nguvu zenye zitashiriki kwa utamaduni.

Pattern status: 
Released